Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

"Nkulu wa nchito" kwa kikwetu maana yake ni Mkuu wa Kaya. Sasa ndugu yangu hiyo kaya yako utaiharibu kisa huyo beki tatu. 😁
Utaanza kula beki tatu, atakunogea mwisho anampindua mama mjengo. Unafukuza watoto na mama yao, unamuoa beki tatu!

Linda heshima yako, waachie Gen-Z huyu beki tatu. 😁
😀😀👏🏻👏🏻
Shindwa!
Jicho linaloshawishi zinaa unatakiwa uling'oe.
Kweli kabisa zinaa si nzuri ina athari kubwa
 
Back
Top Bottom