Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Beki tatu ni jina la kumshusha hadhi huyo binti. Jina halisi anapaswa Aitwe msaidizi wa mke wako.


Akiwa msaidizi na mke wako akakubali umletee msaidizi wa kazi zote za nyumbani hii haipingwi unaweza kumfanyia matumizi yote ya nyumbani ili mradi tu mmekubaliana pasina kutumia nguvu.

Kwa kifupi mdada wa kazi ni msadizi wa mke wako uko sahihi mkuu binafisi nakuunga mkono.

Jambo hili nilishalisema kwa wife kuwa tukileta mdada wa kazi muhimu asaidie majukumu yote.

NB:Hudhuria vikao mkuu
😃😃
 
Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri

Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea

Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi

Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.
Mada kama hizi saazingine mi'husita kutoa ushauri kwa sababu watoa mada za sampuli hii, wengi hujitokeza kucheza na akili zetu tayari wakiwa katika mode ya kusherehekea ushindi wa utekelezaji wa maasi hayo wanayojifanya kuyalaani.

Mtu anafanya kwanza kitendo hicho cha dhambi, ndiyo anakuja kuomba ushauri wa kuzuia!

Ni wengi na siyo wote nimesema.

Wanapata starehe mara mbili:kufanya zinaa kwanza na kisha kucheza na akili za watu.

Kwamba wajanja wao.
 
Back
Top Bottom