ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Upo sahihi, hata hivyo anguka kubwa la mwanaume lipo kwenye tamaa yake juu ya mwanamke, it's our major downfall.Mi ningekuwa mwanaume nahisi utelezi ndo ungeniingiza motoni.
Ningewaweka sana.
Sasa nifatishe na wenzangu humu ule huo mzigo. Utajuta sana na itakuwa point of no return.
Ila kumuweka msaidizi wa ndani is worse!