Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

Maisha ya ndoa/sex yana siri nyingi ambazo huwa hazisemwi. Kwa maamuzi yoyote hutakuwa wq kwanza au wa mwisho.Watu wanatoka na mahouse girls, masecretary ofisini, watumishi wenzao, rafiki zao kimya kimya.Kuna ndoa watu hawapeani miezi, wamama hayo mambo wengi yako kushoto, wanaume wako moto.
Tumeshuhudia watu wakioa shemeji zao, wasaidizi wao, beki tatu etc.
Thus mambo yako ya ndani unayajua mwenyewe, TAKE CARE na tumia akili, inawezekana suala sio kishundu hicho but something more deep kilichokufanya mpaka ukaanza kumuona na kumuweka akilini.
 
Hata tukikwambia usimle nikama tunajisumbua tu.

Umesha mtaman tiar kuna siku utamla tu.
Hapa umekuja kuomba uthibitisho tu.

Rabda uombe kwelikwel, ujisimamie na cha ahsubuh jitahd mkeo akupe asee,....
au umrudishe ulete mwingne.
Kwa kurinda ndoa yako
 
Mada kama hizi saazingine mi'husita kutoa ushauri kwa sababu watoa mada za sampuli hii, wengi hujitokeza kucheza na akili zetu tayari wakiwa katika mode ya kusherehekea ushindi wa utekelezaji wa maasi hayo wanayojifanya kuyalaani.

Mtu anafanya kwanza kitendo hicho cha dhambi, ndiyo anakuja kuomba ushauri wa kuzuia!

Ni wengi na siyo wote nimesema.

Wanapata starehe mara mbili:kufanya zinaa kwanza na kisha kucheza na akili za watu.

Kwamba wajanja wao.
Kiukweli mi bado sijakula mbususu ya huyu beki dada wa kazi
 
Maisha ya ndoa/sex yana siri nyingi ambazo huwa hazisemwi. Kwa maamuzi yoyote hutakuwa wq kwanza au wa mwisho.Watu wanatoka na mahouse girls, masecretary ofisini, watumishi wenzao, rafiki zao kimya kimya.Kuna ndoa watu hawapeani miezi, wamama hayo mambo wengi yako kushoto, wanaume wako moto.
Tumeshuhudia watu wakioa shemeji zao, wasaidizi wao, beki tatu etc.
Thus mambo yako ya ndani unayajua mwenyewe, TAKE CARE na tumia akili, inawezekana suala sio kishundu hicho but something more deep kilichokufanya mpaka ukaanza kumuona na kumuweka akilini.
👏🏻👏🏻
 
Sexual abuse Tanzania inachukuliwa poa tu. Angalia hizi comments
 
Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri

Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea

Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi

Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.

Unajua nini? You're a pervert
 
Sawa ila bado sijazini nae
jizuie sasa, sema hapa mkeo ndo ilitakiwa ajue kashetan kanakuvizia ili awe anakupa yote ule.
Sema namna ya kumfkishia ujumbe ndo kasheshe.

Kama itatokea mkeo akakunyima unyumba lazma utamsumbua bek tatu.
Make ushamtaman kabla.

KIUFUPI UPO MAJARIBUNI.
kuiharibu kesho au kuijenga
 
Back
Top Bottom