Gibson Isaya
New Member
- Apr 26, 2014
- 3
- 0
Mwanamke mwenye jinsia zote mbili, je anaweza kuzalisha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana jinsia mbili za kike?
hzo stori tu. sema sometimes inaweza kutokea kinembe kikawa kikubwa kwenye uke hivyo kuleta mwonekano kama wa penis
kuzaa anaweza ila anatakiwa ajue ni ipi inafanya kazi vizuri.
ninaijua jinsia ya pale kati, vipi hiyo jinsia nyingine imekaa wapi?