Habari za siku wandugu,
kama ilivyoada ya mtandao huu wa kijamii ni kupeana ushauri kuhusu mambo mbalimbali.naomba ushauri wenu kuhusu haya makabati ya kichina(nguo na vyombo)ambayo kwa kweli kwa sasa ndo yanatia fora hapa jijini kwa uzuri wa muonekano.je yanaubora au kama yana ubovu ni upi?naomba ushauri wenu maana nina mpango wa kununua na mm.
ahsanteni.