Kuhusu kabati za kichina

Kuhusu kabati za kichina

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,093
Reaction score
1,154
Habari za siku wandugu,
kama ilivyoada ya mtandao huu wa kijamii ni kupeana ushauri kuhusu mambo mbalimbali.naomba ushauri wenu kuhusu haya makabati ya kichina(nguo na vyombo)ambayo kwa kweli kwa sasa ndo yanatia fora hapa jijini kwa uzuri wa muonekano.je yanaubora au kama yana ubovu ni upi?naomba ushauri wenu maana nina mpango wa kununua na mm.

ahsanteni.
 
umeshasema ya kichina kama cm za kichina.Jamani tujali vyetu hawa wadogo wanamaliza veta kazi yao itakuwa ni nin? nakushauri nenda chang`ombe yapo mazuri tu ya hapa hapa home
 
Ina maana kila bidhaa kutoka china ni mbovu?na kuhusu kununua bidhaa za hapa nchini,mbona hata nikinunua hizi za kichina nakuwa namchangia mtz huyohuyo ktk kulipa kodi.ila ahsante kwa ushauri wako.
 
bidhaa za namna hii huwa zinatengenezwa kwa mabaki ya mimea na hivyo yakiingia maji au kukaa muda wa mwaka mmoja yanapinda. Huwezi kutumia muda mrefu na ndio maana yana bei nafuu
 
Back
Top Bottom