Kuhusu Kampamba: Sheria inasemaje kuhusu kumchezesha Mchezaji asiyekuwepo benchi?

Mimi ndo nilieanzisha uzi? Ukienda kumshtaki mtu inatakiwa uwe na evidence za kutosha kumtia mtu hatiani sio hiyo post yako

Sent using Jamii Forums mobile app
We hoja yako ni ipi mana ueleweki?
Hicho kikosi kimepositiwa na Klabu ya Yanga Kwenye account media zao. Sasa huo ushahidi wa kutosha unataka uweje?
Kama hicho kilifanyiwa mabadiliko kikosi kipya kilikua ni kipi?
Na kama hicho sio chenyewe ilikuaje Yanga wakaposti kikosi ambacho sio sahihi Kwenye official account zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi wa sheria za mpira naomba tufahamishane

Je, klabu inapo mchezesha Mchezaji ambaye hayumo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba sheria inasemaje?
 
Sheria inasema timu iliyomchezesha mchezaji wa namna iyo inapokwa pointi na ushindi anapewa timu pinzani.....nawaona 🐸🐸 wanavyokunja ndita...!!
 
Hayo majina wewe uliyaona wapi hili ujue hakuwepo kwenye list ya wachezaji wa akiba?.
 
Inawezekana mmoja kati ya waliokuwa kwenye match day sqaud alipata injury dakika chache kabla ya mechi kuanza hivyo huyo Kampamba akachukua nafasi yake kwenye kikosi ni kitu cha kawaida kabisa
 
Inawezekanaje wakati wachezaji wameshakaguliwa na listi imeshawasilishwa

Mambo kama hizi tunafanya sana ligi za chini kama daraja la 2 na 3 kutokana na ukata wa wachezaji wazuri ,hivyo unaweza kusajiri magalasa halafu kwenye mechi, unachukua wanaojua wakawa wanatumia leseni/kadi zao

Ila kufanya hivyo ni udanganyifu ambao unaweza kupokonywa point,kupigwa fain au kushushwa daraja( ingawa hii kwa timu ndogo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…