- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatoa malalamiko yasio na ushahidi, unatupa post ya mtandaoni je? umeiona list ikiyo enda kwa wahusika
Mimi ndo nilieanzisha uzi? Ukienda kumshtaki mtu inatakiwa uwe na evidence za kutosha kumtia mtu hatiani sio hiyo post yako
We hoja yako ni ipi mana ueleweki?Mimi ndo nilieanzisha uzi? Ukienda kumshtaki mtu inatakiwa uwe na evidence za kutosha kumtia mtu hatiani sio hiyo post yako
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii ni post ya mtandaoni haina uhalisiaKikosi kilikuwa hicho.na wa akiba wameandikwa hapo.
HUYO KATOKA WAPI?.View attachment 1368840
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji anaitwa Kampamba aliingia baada ya Niyonzima kutolewa ktk mechi ya Yanga vs Coastal Union
Kweli?Mchezaji anaitwa Kampamba aliingia baada ya Niyonzima kutolewa ktk mechi ya Yanga vs Coastal Union
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii ni post ya mtandaoni haina uhalisia
Leta official list iliyokuwa submitted TFF.Kikosi kilikuwa hicho.na wa akiba wameandikwa hapo.
HUYO KATOKA WAPI?.View attachment 1368840
Sent using Jamii Forums mobile app