Kuhusu Kampamba: Sheria inasemaje kuhusu kumchezesha Mchezaji asiyekuwepo benchi?

Kuhusu Kampamba: Sheria inasemaje kuhusu kumchezesha Mchezaji asiyekuwepo benchi?

Payrol

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
2,286
Reaction score
3,082
Yanga imemchezesha mchezaji ambaye hakuwepo hata Kwenye jukwaa la wachezaji wa akiba walioorodheshwa.
Je wanaweza kupokonywa point

IMG_20200255_125607.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata wakipokwa haina madhara saana, point yenyewe watakayo pokwa ni moja, wangeshinda mechi ndo ingekuwa nongwe, ila wakipokwa hii itaharibu rekodi yao ya kutoka sare na ikazidi kubaki pale pale ya mechi 3 mfululizo.
Huyo mchezaji anaitwa Kampamba aliingia badala ya Niyonzima, na Kwenye sub hakuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatafuta sababu na huruma kwa mashabiki.

Wanakiuka sheria ili tu waanze kuwaangushia jumba bovu TFF na kamati ya ligi.Mpira umewashinda wamebakiza visingizio viingi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mmoja kati ya waliokuwa kwenye match day sqaud alipata injury dakika chache kabla ya mechi kuanza hivyo akachukua nafasi yake
 
unatoa malalamiko yasio na ushahidi, unatupa post ya mtandaoni je? umeiona list ikiyo enda kwa wahusika
 
Back
Top Bottom