ng'wana mlingwa
Member
- Oct 11, 2007
- 5
- 0
Nionavyo mimi NHC pamoja na kwamba ni shirika ambalo linaongozwa na kijana below 40yrs utendaji kazi hasa kwenye swala la ajira ni warasimu sana. naona kama ajira wanatangaza kama formality tu. Hawana tofauti kabisa na mamlaka ya Bandari-TPA, UKIONA WAMETANGAZA KAZI usishangae kuambiwa kuwa watu walishaanza kazi. usemi kuwa if you don`t here from us consider yourself unsuccessful, una maana zaidi ya ile unayojiua.