Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC)

Kuhusu kazi shirika la nyumba (NHC)

Joined
Oct 11, 2007
Posts
5
Reaction score
0
Niliomba kazi NHC ambayo ilitangazwa mwezi wa sita na deadline ya kuapply ilikuwa tarehe 27/06/2011. Title ya kazi ni SENIOR FRAUD INVESTIGATION OFFICER (Ref.No.SFI/nhc/2), je kuna mtu mwenye taarifa kama watu wameshaitwa kwenye interview maana sijasikia lolote.
 
Hawa jamaa iaonekana miyeyusho tuu!
 
Nionavyo mimi NHC pamoja na kwamba ni shirika ambalo linaongozwa na kijana below 40yrs utendaji kazi hasa kwenye swala la ajira ni warasimu sana. naona kama ajira wanatangaza kama formality tu. Hawana tofauti kabisa na mamlaka ya Bandari-TPA, UKIONA WAMETANGAZA KAZI usishangae kuambiwa kuwa watu walishaanza kazi. usemi kuwa if you don`t here from us consider yourself unsuccessful, una maana zaidi ya ile unayojiua.
 
kaka upo sahihi asilimia zote
 
Back
Top Bottom