J JASX Senior Member Joined Aug 26, 2012 Posts 170 Reaction score 130 Nov 6, 2012 #1 Poleni na uchovu wa kazi member wa jf. Naomba aliyewahi fanya interview ya kazi ya research katika hospital binafsi naomba anisaidie vitu vya msingi ambavyo wanauliza kwenye interview. Thanks
Poleni na uchovu wa kazi member wa jf. Naomba aliyewahi fanya interview ya kazi ya research katika hospital binafsi naomba anisaidie vitu vya msingi ambavyo wanauliza kwenye interview. Thanks
X xiande Member Joined Oct 3, 2012 Posts 90 Reaction score 12 Nov 7, 2012 #2 funguka zaidi mkubwa ...research kuhusu nn??mnapotaka misaada hakikisheni mnaiclude kila kitu ili tujue pa kuanzia ...
funguka zaidi mkubwa ...research kuhusu nn??mnapotaka misaada hakikisheni mnaiclude kila kitu ili tujue pa kuanzia ...