Kuhusu kazi za research

Kuhusu kazi za research

JASX

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
170
Reaction score
130
Poleni na uchovu wa kazi member wa jf. Naomba aliyewahi fanya interview ya kazi ya research katika hospital binafsi naomba anisaidie vitu vya msingi ambavyo wanauliza kwenye interview. Thanks
 
funguka zaidi mkubwa ...research kuhusu nn??mnapotaka misaada hakikisheni mnaiclude kila kitu ili tujue pa kuanzia ...
 
Back
Top Bottom