Kuhusu kesi ya Elizabeth Michael; Luquman Maloto, kama humjui Mungu dunia itakutesa!

The Bourne

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
1,077
Reaction score
1,321
KAMA HUMJUI MUNGU DUNIA ITAKUTESA!

c9f770a285ee81b4c31f17425adc1be3.jpg

Kwa Kanumba yule nimjuaye mimi. Na Lulu yule ninayemfahamu. Doooh! Ningekuwa Jaji wa kesi ya Lulu, ningekuwa nasikiliza kesi kama simulizi fulani ya mapenzi ili kuongeza ufahamu wa visa vya walimwengu.

Hata hivyo, mwisho kabisa wakati wa kutoa hukumu ningemwachia Lulu huru bila kuzingatia ni ushahidi kiasi gani unamtia hatiani.

Kwa ka-Lulu kale na li-Kanumba lile. Aisee, nini kumdondosha chini, hata kumtikisa apepesuke Lulu asingeweza, acha kuanguka na kifo juu.

Ukiliangalia li-Kanumba lile na ukakaangalia ka-Lulu kale, unajua tu kuwa siku ziliwadia. Na zikifika ni Mungu tu anayejua.

Ni hapo ndipo ubabe wa Mungu unapoonekana. Ka-Lulu kale kamekuwa sababu ya kifo cha li-Kanumba lile bila silaha. Halafu miuaji ile mizezeta na mi-SMG yao na risasi zao 40, imeshindwa kumuua Lissu ambaye hakuwa amevaa bulletproof.

Kama humjui Mungu hii dunia itakutesa sana.

Ndimi Luqman MALOTO
 
[emoji12] [emoji122] [emoji12] [emoji112] [emoji115]
 
Hiyo lugha ya "li-kanumba" si lugha nzuri especially unapomli-reffer marehemu.
 
Marehemu wenyewe alikuwa anakandamiza mkuyenge vitoto ambavyo havina hata chuchu? Yule alikuwa monster
 
Hahaha
Mkuu kwani huwa hushuhudii Lori kubwa linamshinda Dereva?
Kwahyo kanumba alijidondosha mwenyewe?
 
Hii kesi ina mengi sana mkuu....kama ulimsikiliza Seth Bosco jana mahakamani utagundua kuna vitu vingi mwanzo havikusemwa
 
Hiyo lugha ya "li-kanumba" si lugha nzuri especially unapomli-reffer marehemu.
Nadhani muhandishi anajaribu kutupa picha ya maneno ya jinsi Marehemu alivyokuwa na muonekano uliojengenga kwa mazoezi.
 
Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama, afunge mdomo wake akae kimya!
 
Back
Top Bottom