Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Ama kweli "mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake".Ukinikashifu kuwa mimi ni mjuzi wa kulala chali sababu tu ni mwanamke...jua hata mama yako ni mwanamke ninachokifanya na yeye anakifanya so kabla ya kumkashifu mtu jifikirie kwanza.
Anyway sitokujibu kwa kashfa kama ulivyofanya.
Kwa hiyo?Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Moja ya mchezo wenye changamoto nyingi sana hasa katika mchezo wa Soka ni mchezo wa "WATANI WA JADI" yaani Simba Vs Yanga.
Ni mchezo ambao unabeba hisia nyingi sana kwa wanamichezo kuanzia washabiki,wachezaji,makocha na wadau wote wa timu husika na timu mbalimbali shiriki.
Katika mchezo kuna matukio mengi sana ambayo machache yanaweza yakaonwa na mwamuzi na kuchukuliwa hatua na mengine mengi sana mwamuzi anaweza asiyaone na yakaonwa na watazamaji wengine hasa wa kwenye TV,hii ni kutokana na picha za marudio (Reply) zinazooneshwa.
Katika mchezo wa leo wa tarehe 29/04/2018 (Jumapili) ambapo timu ya Simba SC imeibuka na ushindi kuna matendo mengi sana yaliyotokea.
Moja ya kile kilichotokea ambacho kimenishawishi niandike haya ni mchezo/kitendo ambacho sio cha kiungwana kabisa (sio cha kimichezo) kilichofanywa na beki wa Yanga Kelvin Yondani kwa kumtemea mate mchezaji wa timu ya Simba.
Kiukweli ni moja ya kitu ambacho sio cha kiungwana kabisa kufanywa na mchezaji huyu hasa ukizingatia sifa ambayo Yondani amejijengea katika soka la Tanzania na hata nje ya nchi.
Ni kitendo ambacho labda mwamuzi hakukiona kabisa labda maana attention ya mpira ilikuwa ipo sehemu tofauti na kitendo hicho kilipotokea.
Ni wakati sasa wachezaji wazingatie michezo iliyo sahihi ili kufanya soka uwe mchezo wa kuburudisha kwa watazamaji wake.
Sheria ichukue mkondo wake dhidi ya vitendo kama hivi ambavyo si vya kiungwana vinavyotokea michezoni,TFF,inapaswa ichukue hatua kali sana ili iwe funzo kwa Yondani na wengine wote wenye tabia za aina hii.
Mwana_michezo
Bila Nidham hakuna cha ubora wowote... bakini na ushabiki wenu MahandaziiOngeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Hiyo ya umahiri wake ianzishie uzi wake, kinachojadiliwa hapa ni utovu wa nidhamu na kitendo kisicho cha kiuana michezo,Ongeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Kosa halihalalishwi na kosa, Kevin ni mchezaji mzuri tu ila ktk hili amekosea sana, mpira ni kazi kwa maana ya ajira, hivyo kila mfanyakazi anapaswa kuwa na nidhamu ktk kazi yake, Kevin ni mfanyakazi ktk club ya yanga anapaswa kuwa na nidhamu akiwa ktk carrier yake, tuige mambo mazuri kwa wachezaji wa ulaya na siyo watovu wa nidhamu kama kina balotel. Ukweli Kwasi hakumfanya chochote Kevin ila yeye kevi alitaka kumfrustrate Kwasi kumtoa mchezoni lkn njia aliyotumia siyo ya kiungwana, nafikiri kevi aombe radhi kwa kwasi kwa heshima yake na club yake pia. Kunatukio moja wachezaji wa yanga walimpiga refa na ule mchezo ulikuwa ukionyeshwa na super sport wazungu waliponda sana kile kitendo, ombi langu wachezaje wote wawe waungwana na wastaaarabu wakiwa ndani na nchi ya uwanjaMleta mada ni mpumbavu na mpuuzi. Unajua sababu za Yondani kufanya vile au unakurupuka tu uonekane na wewe mchambuzi?
Hii inanikumbusha Zidane alimpiga kichwa jamaa lkn alipotoa utetezi wake ulikuwa na mashiko,usikurupuke kutoa hukum utakuwa mpumbavu
Hueleweki unajikwaa hovyo tu!. Kumbe umejua alitaka kumtoa mchezoni!. Sasa unapiga kelele za nin vitani mbinu yoyote inatumika as far as italeta ushindi.Kosa halihalalishwi na kosa, Kevin ni mchezaji mzuri tu ila ktk hili amekosea sana, mpira ni kazi kwa maana ya ajira, hivyo kila mfanyakazi anapaswa kuwa na nidhamu ktk kazi yake, Kevin ni mfanyakazi ktk club ya yanga anapaswa kuwa na nidhamu akiwa ktk carrier yake, tuige mambo mazuri kwa wachezaji wa ulaya na siyo watovu wa nidhamu kama kina balotel. Ukweli Kwasi hakumfanya chochote Kevin ila yeye kevi alitaka kumfrustrate Kwasi kumtoa mchezoni lkn njia aliyotumia siyo ya kiungwana, nafikiri kevi aombe radhi kwa kwasi kwa heshima yake na club yake pia. Kunatukio moja wachezaji wa yanga walimpiga refa na ule mchezo ulikuwa ukionyeshwa na super sport wazungu waliponda sana kile kitendo, ombi langu wachezaje wote wawe waungwana na wastaaarabu wakiwa ndani na nchi ya uwanja
Anaongoza kujiangusha ni Antonio ValenciaOngeeni yooooote. tz hakuna beki bora kama Yondani, Ushahidi wote mnao. Huyu jamaa mpira anaujua Mengine ni mapungufu tu kila mtu na yake. Hata Ronaldo ni bora ila anaongoza kujiangusha Dunia nzima.
Kuwa mpole na onyesha busara yako zaidi kuliko jazba, najua unamapenzi sana na yanga lkn ukweli utabaki vilele tu kuwa Kevin hakufanya kitendo cha kimichezo, hata huyo wa singida united pia amekosea kama kweli limetokea tukio kama hilo la Kevin na Kwasi, kama kweli ni mpenzi makini wa yanga basi tumia fursa hii kumkemea Kevin na wachezaji wengine wenye tabia kama hizo. Kevin ni mchezaji ambae anatakiwa kuwa mfano kwa vijana kama gadiel maiko.Kitendo kama hiki lingetokea ktk club za ulaya Kevin angekatwa mshahara wake asilimia fulani kwa ku misbehave. Chukulia mfano tu mtu anakutemea mate wewe unge react vipi ii ujue hiki kitendo siyo cha kiungwana. Zipo mbinu nyingi tu za kumuondoa mpinzani wako mchezoni ambazo haziwezi kuondoa utu wako na heshima.Hueleweki unajikwaa hovyo tu!. Kumbe umejua alitaka kumtoa mchezoni!. Sasa unapiga kelele za nin vitani mbinu yoyote inatumika as far as italeta ushindi.
Ulitaka amkumbatie ndo ujue anaitumikia Yanga vizur? Hovyo kabisa wewe umesahau Kelvin huyo huyo alitemewa mate wiki moja lililopita mbona hukutoa mbovu tufue nguo?
Acheni unafiki akifanya Yondani kelele mwaka mzima lkn Singida wakifanya ni halali au ndo hoja mfu ya kosa halihalaloshi kosa