Kosa halihalalishwi na kosa, Kevin ni mchezaji mzuri tu ila ktk hili amekosea sana, mpira ni kazi kwa maana ya ajira, hivyo kila mfanyakazi anapaswa kuwa na nidhamu ktk kazi yake, Kevin ni mfanyakazi ktk club ya yanga anapaswa kuwa na nidhamu akiwa ktk carrier yake, tuige mambo mazuri kwa wachezaji wa ulaya na siyo watovu wa nidhamu kama kina balotel. Ukweli Kwasi hakumfanya chochote Kevin ila yeye kevi alitaka kumfrustrate Kwasi kumtoa mchezoni lkn njia aliyotumia siyo ya kiungwana, nafikiri kevi aombe radhi kwa kwasi kwa heshima yake na club yake pia. Kunatukio moja wachezaji wa yanga walimpiga refa na ule mchezo ulikuwa ukionyeshwa na super sport wazungu waliponda sana kile kitendo, ombi langu wachezaje wote wawe waungwana na wastaaarabu wakiwa ndani na nchi ya uwanja