muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 194
- 165
Asante sana hagau!Kuna New project nadhani Mkulazi, jirani hapo Wami Dakawa.
Usiende huko mbali shuka hapo ni jirani na Moro town. Ukikosa msimu wa miwa panalima Mpunga utafanya kwenye project za Mipunga
Nasikia Msimu unaendelea wakati huuAsante sana hagau!
Hizo za wami Dakawa zinaanza lini yeye ni kibarua sio wale wa ofisini
Asante sana kwa mrejesho KiongoziMimi nilikuwa pale mtibwa sugar kuhusu Msimu wa uzalishaji kuanza huwa unaanza mwezi wa tano baada ya mvua za masika kuisha na kuhusu Kazi za shamba ambazo Unaweza kupata hata sasa hivi ukienda Ni ya kukata miwa sasa hivi huwa wanalipa around kama 10,000 Kwa siku ila uwe ngangari kidogo màana kukata miwa sio mchezo
Hapo hamna mrejesho ndugu yangu.Asante sana kwa mrejesho Kiongozi
Hahaaaaaa...Hapo hamna mrejesho ndugu yangu.
Mrejesho utaleta wewe ukifika huko Mtibwa
Ni balaaaNaskia show za viwanda vya sukari huwa sio mchezo