Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Viongozi wa dini na dunia ilisema serikali iachie miili ya watu ilio wauwa serikali ikajibu hatufuati maagizo ya viongozi wa dini wala nchi za nje.
Wananchi pia wamesema sana wanataka wapendwa wao hawajapewa sasa hivi hawa watu wanaakili timamu kweli ?
Watu wengine ni wakuwaonea huruma sana sasa wanafuata maagizo ya nini hata wananchi wameuwa kinyume cha sheria kiufupi hawafuati chochote ni vichaa na aisi hatupo chini ya vichaa D9 tutawaondoa.