Kuhusu kuchora tattoo hapo vipi?

painboy

Senior Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
110
Reaction score
51
Habarini wakuu wa hili jukwaa la urembo..

Mimi ni boy katika maisha yangu nilishatamani kuchora tatoo kwenye mkono ila ndoto kidogo zikanitisha ila kwa sasa napenda nichore tatoo.

Je mnanishauri nini? Je ni yapi madhara? Sehemu gani nzuri kuchora? Njooni mnipe uzoefu wenu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aandike Adidas,
Ikiwa imelala itasomeka AIDS ila ikisimama itasomeka ADIDAS.
Umeniibia wazo la comment yangu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Wachora tattoo naona sawa tu na watoboa masikio na kuvaa Heleni kwa me....mwisho wa siku kila mtu anaweza fanya lolote analo penda ili mradi havunji taratibu na sheria hii ni nchi huru fanya for ur own risk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa na pesa tattoo ni urembo kama hauna ni ujinga + ulimbukeni + uchafu na uhuni.

halikadhalika rasi(rasta).

na pia kuna fursa itakunyima hususan katika utafutaji pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…