Market maker
Member
- Jun 6, 2026
- 35
- 75
Yes ila sidhani sms tu inatosha! umapaswa umtumie qr code pia na particulars ziwe za anayesafiri! Hata ku-print qr code!Naomba kuhuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole
Msaada jamani ninahitaji.π
NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha.Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole
Msaada jamani ninahitaji.π
Kizi mkaziSahamani mkuu.....
Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€
Mitano tena kwake.....πKizi mkazi
Unaweza. Unaandika majina yake na namba ya simu unaweka yake.Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole
Msaada jamani ninahitaji.π
Kitambulisho sio lazima kiwe cha NIDA. Muhimu jina liendane na kitambukisho.NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha.
MbagalaSahamani mkuu.....
Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€
Ni Bus la kwenda Zanzibar.Sahamani mkuu.....
Hiyo SGR ni bus la kwenda mkoagani....π€