Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.
Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.
Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.
Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.