Kuhusu kuokoa penati

Kuhusu kuokoa penati

Tuna Mwameja, Kaseja ni mabingwa wa kutoka penati tujifunze kwao.
Kipa akitaka kudaka penati asubiri mpaka mpira upigwe ajue inaelekea wapi na sio kuangalia miguu, penati zikipigwa usawa wa juu ya mabega ya kipa pembeni ni ngumu kudaka.
 
Kuna mtangazaji wa DSTV alikuwa anasema jamaa anasubiri mpira upigwe kwanza halafu ndo anaufuata,nikarudia video ni kweli,mpira unapigwa yeye ndo anaruka.....lakini kipa akihojiwa alisema match analyst wao alimwambia majina ya wachezaji kwamba hawa wanne watapiga kulia na mmoja kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Speed ya mpira ni kubwa mno ukisubiri upigwe ndo uufuate hutodaka penalt labda ipigwe karibu yako . Speed ya mpira ni zaidi ya 65km/hr wakati mrukaji hata 20km/hr ni ngumu . Kuruka baada ya kupiga na ukadaka ni impossible ndo maana keeper lazima afanye kubahatisha upande kabla mpira haujanyanyuka

Angalia hapa picha kipa amechagua upande penalt zote kabla hazijapigwa
View attachment 2894222
View attachment 2894223
 
Mchezaji akilenga kwenye karibu na nguzo ya goli eg sentimita mbili kutoka kwenye nguzo kwa ndani na shuti likiwa kali, kipa haokoi hata kama atajua upande unaopiga. Kusema hivi sikatai kuwa kipa wa South Africa alikuwa mzuri kwenye kuokoa, bali na wale wapigaji wa Cape Verde nao walipiga karibu mno na kipa.
Ndio. mfano mzuri ni ile moja aliyoifata lakini ilikua mbali sana.
 
Ifahamike jamaa ni graduate wa academy ya Totenham pale Uingereza yuko vizuri na ndio maana ana kitambaa
 
Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.

Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.

Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.

Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Mmmh wapigaji nao hamna kitu. Ila kwa hiyo mechi kajitahidi.
 
Yule kipa no nyoko ***** Dah anajua sana mpaka anakeraaa....
 
MNACHOPASWA KUJIFUNZA WATANZANIA.

MSIONE VTAELEA VIMEUNDWA.

Wale wachezaji wa South wamepikwa wakapikika, ni Vijana waliokulia Academy wakafundishwa mpira.

Mamelody Imetoa zaidi ya wachezaji 8 kwenye Timu ya Taifa ya RSA.

Uwekezaji wa Chupli wa akina Mo na hizi siasa za simba na Yanga zinaua kabisa kabisa mpira wa Tanzania.

AIBU SANA
Usiitaje Yanga kwenye vitu vya kijinga we taja kolo lako hilo
 
Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.

Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.

Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.

Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Waende Sauzi kufuata nini?

WAKATI TUNAE ALLI SALIM PALE UNYAMANI?
 
Mimi penalty naamua napiga wapi Ile millisecond ya mwisho kabla mguu haujagusa Mpira. Na katika UN predictable pattern. L. Williams angekaa tu.
unajua bolu..mimi ata wanipe huyo diarra katika 5 nkikosa bahati mbaya ni 1..shule na mapenzi yameua sana vipaji vyetu wengine,kuna muda mchezaji anakosa goli au kutoa pasi hadi waga najiuliza walifikaje huko..
amini usiamini mungu ni fundi sana
akikupa nguvu,akili ya mpira itakua ndogo,akikupa akili nguvu kidg
mungu alichoninyima ni nguvu tu ila nina stamina ya kutosha ningekua mchezaji mkubwa nngeji rate na neymar,palmer,
 
Yule kipa wa south afrika ni fundi sana kusave penalties,
Huwa tunabishana sana na majamaa,wao husema kipa yeyote kusave penalt ni kubahatisha tu na siyo uwezo binafsi wa kipa,
Hapo niliwakatalia nikawaambia kuna makipa wana uwezo/kipaji kabisa cha kuweza kusave penalt,nadhani huyo kipa sas kawapa majibu kwamba kwenye penalt ana uwezo siyo kubahatisha tu..
 
Back
Top Bottom