Kuhusu kuokoa penati

Tuna Mwameja, Kaseja ni mabingwa wa kutoka penati tujifunze kwao.
Kipa akitaka kudaka penati asubiri mpaka mpira upigwe ajue inaelekea wapi na sio kuangalia miguu, penati zikipigwa usawa wa juu ya mabega ya kipa pembeni ni ngumu kudaka.
 

Speed ya mpira ni kubwa mno ukisubiri upigwe ndo uufuate hutodaka penalt labda ipigwe karibu yako . Speed ya mpira ni zaidi ya 65km/hr wakati mrukaji hata 20km/hr ni ngumu . Kuruka baada ya kupiga na ukadaka ni impossible ndo maana keeper lazima afanye kubahatisha upande kabla mpira haujanyanyuka

Angalia hapa picha kipa amechagua upande penalt zote kabla hazijapigwa
View attachment 2894222
View attachment 2894223
 
Ndio. mfano mzuri ni ile moja aliyoifata lakini ilikua mbali sana.
 
Ifahamike jamaa ni graduate wa academy ya Totenham pale Uingereza yuko vizuri na ndio maana ana kitambaa
 
Mmmh wapigaji nao hamna kitu. Ila kwa hiyo mechi kajitahidi.
 
Yule kipa no nyoko ***** Dah anajua sana mpaka anakeraaa....
 
Usiitaje Yanga kwenye vitu vya kijinga we taja kolo lako hilo
 
Waende Sauzi kufuata nini?

WAKATI TUNAE ALLI SALIM PALE UNYAMANI?
 
Mimi penalty naamua napiga wapi Ile millisecond ya mwisho kabla mguu haujagusa Mpira. Na katika UN predictable pattern. L. Williams angekaa tu.
unajua bolu..mimi ata wanipe huyo diarra katika 5 nkikosa bahati mbaya ni 1..shule na mapenzi yameua sana vipaji vyetu wengine,kuna muda mchezaji anakosa goli au kutoa pasi hadi waga najiuliza walifikaje huko..
amini usiamini mungu ni fundi sana
akikupa nguvu,akili ya mpira itakua ndogo,akikupa akili nguvu kidg
mungu alichoninyima ni nguvu tu ila nina stamina ya kutosha ningekua mchezaji mkubwa nngeji rate na neymar,palmer,
 
Yule kipa wa south afrika ni fundi sana kusave penalties,
Huwa tunabishana sana na majamaa,wao husema kipa yeyote kusave penalt ni kubahatisha tu na siyo uwezo binafsi wa kipa,
Hapo niliwakatalia nikawaambia kuna makipa wana uwezo/kipaji kabisa cha kuweza kusave penalt,nadhani huyo kipa sas kawapa majibu kwamba kwenye penalt ana uwezo siyo kubahatisha tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…