Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Wana jf, mimi nilifanya mtian wa kidato cha 6 mwaka 2012 na nataka sasa niombe chuo tcu. TATIZO LANGU NI KWAMBA SIELewi kuusu garama za uombaji. yani adi kukamilisha utaratibu wote kuanzia tcu ad loan boad, nitapaswa kutoa hela wapi na wapi na ni hela kiasi gani kwa kila kona ?? yan sielewi kabisa taratibu za kuomba vyuo na sina mtu wa kunisaidia zaidi yenu wana jf. nipo kijijin na ndo mana naitaji nielewe kabla cjaenda mjini kuanza taratibu za kuomba nafasi ya chuo.