Kuhusu kuomba vyuo pamoja na mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu.

Kuhusu kuomba vyuo pamoja na mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu.

Joined
Apr 3, 2013
Posts
53
Reaction score
0
Wana jf, mimi nilifanya mtian wa kidato cha 6 mwaka 2012 na nataka sasa niombe chuo tcu. TATIZO LANGU NI KWAMBA SIELewi kuusu garama za uombaji. yani adi kukamilisha utaratibu wote kuanzia tcu ad loan boad, nitapaswa kutoa hela wapi na wapi na ni hela kiasi gani kwa kila kona ?? yan sielewi kabisa taratibu za kuomba vyuo na sina mtu wa kunisaidia zaidi yenu wana jf. nipo kijijin na ndo mana naitaji nielewe kabla cjaenda mjini kuanza taratibu za kuomba nafasi ya chuo.
 
Kijana subiri matokeo yatoke kwanza,aplication tcu inagharimu 50,000 tu ambapo utailipia nbc benki na utapewa vocha ambayo utaitumia katika registration kabla ya application,njia za kuomba tcu ni kwa kutumia intanet au sms kwa simu za mkononi,pia ni lazima usome admission guide book 2013/2014 ambayo inakupa mwongozo wa uombaji,tayari tcu wameshaweka katika website yao Home - Tanzania Commission for Universities.
 
Umemjibu vizuri ila kwa yeye hana haja ya kusubiri matokeo kwani alifanya mtihani mwaka jana tena anatakiwa awahi kwani mwisho wao ni mwezi huu tarehe 30. wanaopaswa kusubiri matokeo ni wale waliomaliza mwaka huu ambao mwishi wao ni tarehe 31 mwezi wa tano.
 
Dah! Nashkuru kwa majibu yenu mazuri. ila,, hyo 50,000 ni kwa ajili ya usajili tcu, je, kuusu loan boad akuna ela itakayoitajika kwa ajili ya kuombea mkopo? sor just help me.
 
Back
Top Bottom