Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Kijana subiri matokeo yatoke kwanza,aplication tcu inagharimu 50,000 tu ambapo utailipia nbc benki na utapewa vocha ambayo utaitumia katika registration kabla ya application,njia za kuomba tcu ni kwa kutumia intanet au sms kwa simu za mkononi,pia ni lazima usome admission guide book 2013/2014 ambayo inakupa mwongozo wa uombaji,tayari tcu wameshaweka katika website yao Home - Tanzania Commission for Universities.