Pre GE2025 Kuhusu kupokea fedha za Abdul, kutoka kwa Lissu kuna ukweli kidogo na uongo mwingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama rais alimwahidi lisu kumlipa gharama za matibabu, basi huangali sheria tena.Jambo la kujiuliza ni kwa nini ahadi haijatekelezwa; na kwa nini serkali ilikataza wananchi kumchangia matibabu yake (mtakumbuka uliwekwa mpango wa kupata fedha kwa njia ya mauzo flana hivi na watu wakakamatwa).viongozi hulipiwa matibabu yeye hakulipiwa why.
 

sijui, why? labda angekusanya bills zote za matibabu alizolipa/piwa na kwenda nazo mahakamani kushitaki????
 
Lissu hakukataa hongo.

Alikataa hongo ya pesa akakubali hongo ya fadhila ya Abdul kumsaidia apate mafao yake.

Kwa maneno yake mwenyewe.

That was influence peddling.

Lissu should do better than that.
Lissu the "uncorruptible: leaned lawyer mbona ana tapatapa katika swala la Abdul kama double shuffles in James Hardly Chase novel?

Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga pesa nikamtolea nje.

Abdul alitaka kunisaidia pesa kuondokana na upungufu wa kinga ya kifedha yaani ulofa kwa lugha ya Mbagala.

Abdul nilimwambia kwanza anisaidie nipate pesa za matibabu yangu ninazoidai serikali ya Tanzania. Na ukinisaidia jambo hilo tutakuwa marafiki.

Wenje anadai ndie alifanikisha kwa kiwango kikubwa idhini ya Lissu kupokelewa na kutibiwa hospitali maarufu Nairobi Kenya (Hospital bill payment guarantor)
Matibabu ya Lissu kuna pesa zake anazozidai.
Lissu anasema Wenje hanidai pesa za matibabu.

Lissu anadai Wenje ni dalali aliyewaunganisha na Abdul kufanya biashara ya siasa.
 
Kwangu tatizo ni Lissu kukubali kuoewa fadhila na Abdul ili alipwe fedha zake.

Hayo mengine yote ni uninteresting detail that doesn't change much in the final analysis.
 
Utombo Mafi,hakuna mwanasiasa duniani mkweli ila tunajaribu kuchukua yule mwenye afadhali #Bora Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…