Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa.
Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu.
Ajenge timu kwani hawezi kushinda peke yake, asikazane kuwapaka wengine matope na kuwachafua kwani suala hilo haipendezi.
Asema itakuwa amekengeuka sababu ya upepo huu wa uchaguzi na kwamba baada ya uchaguzi kuisha atarudi kwenye mstari.

Pia soma: Pre GE2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura