Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

Wote natural wazima
Tumshukuru muumba
Marehemu alitekwa ndani ya basi mchana kweupe.
Manuals ya kujiuliza
1 Basi lilikuwa kwenye mwendo au lilikuwa lime Simama au limelazimishwa kusimama.
2 Marehemu ali,eti wapi nyuma au Kati au mbele. Kiti cha njiani au cha dirishani
3 Alionesha taharuki au alikuwa nawoga kama abiria wengine.
4 Alinyanyuka mwenyewe au alilazimishwa.
5 kwanini Hakuna picha mnato wala mjongeo
6 Nani alitoa taarifa kwa mnyika na muda gang baada ya token
7 Nani alitaarifu polisi na baada muda gani kupita
8 Nani aliye shuka nae
Na mengi tu halafu tutajuwa kama alikuwa akitarajia Hilo tokeo au la
 
11Masuali namaelezo ni sahihi
Wastaafu wapo wengi na inaweza wapo huko CHADEMA
Kunataarifa watekaji walisema TUMEKUJA KUMCHUKUWA MTU WETU.

Angalian na masuali hayo chini utafakari
1 Basi lilikuwa kwenye mwendo au lilikuwa lime Simama au limelazimishwa kusimama.
2 Marehemu ali,eti wapi nyuma au Kati au mbele. Kiti cha njiani au cha dirishani
3 Alionesha taharuki au alikuwa nawoga kama abiria wengine.
4 Alinyanyuka mwenyewe au alilazimishwa.
5 kwanini Hakuna picha mnato wala mjongeo
6 Nani alitoa taarifa kwa mnyika na muda gang baada ya token
7 Nani alitaarifu polisi na baada muda gani kupita
8 Nani aliye shuka nae
Na mengi tu halafu tutajuwa kama alikuwa akitarajia Hilo tokeo au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…