RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Hello wana JF! Naomba anayefahamu kuhusu jinsi ya kupata mashine ya Betting ktk masuala ya mpira wa miguu ili kuwa wakala wao.Pia kama unafahamu faida yake na je unatakiwa uwe na kianzio cha shilingi ngapi ili kua wakala wao? mm nipo hapa DAR na kunasehemu wapo mashabiki wengi lakini hakuna mashine ya kubett hivyo ningepata hiyo mashine basi ingekua rahisi kufanya hiyo kazi ya uwakala.Hivyo naomba mwenye ufahamu wa kutosha atililike hapa.