Kuhusu kuwa wakala wa betting na faida yake

Joined
Dec 12, 2012
Posts
69
Reaction score
14
Hello wana JF! Naomba anayefahamu kuhusu jinsi ya kupata mashine ya Betting ktk masuala ya mpira wa miguu ili kuwa wakala wao.Pia kama unafahamu faida yake na je unatakiwa uwe na kianzio cha shilingi ngapi ili kua wakala wao? mm nipo hapa DAR na kunasehemu wapo mashabiki wengi lakini hakuna mashine ya kubett hivyo ningepata hiyo mashine basi ingekua rahisi kufanya hiyo kazi ya uwakala.Hivyo naomba mwenye ufahamu wa kutosha atililike hapa.
 
Nadhani wanalipa kwa commision(according to transactions you do). Unataka premier betting au meridian betting? Ingia kwenye website zao fungua link ya "working with us" au tembelea jamaa mwenye mashne akupe info zaidi. Mikeka for life.
 
kuna jamaa yupo premier betting na mtaji wake ni laki moja,kamisheni yake anayopewa ni 7%
 
Nadhani wanalipa kwa commision(according to transactions you do). Unataka premier betting au meridian betting? Ingia kwenye website zao fungua link ya "working with us" au tembelea jamaa mwenye mashne akupe info zaidi. Mikeka for life.

mkuu hivi meridian bet ishafungua tawi mwanza na arusha?

cc Raimundo NkyaH
 
Last edited by a moderator:
Wakuu sio kwamba nabeza mchezo huu.
Ila hii ni kamari kwa lugha nyepesi,maana ukiita kizungu kama vile unaihalalisha vile.
Mie ni muislam na katika dini yetu michezo hii ni hatari sana na ni Laana sana.Na ndio maana hakuna mcheza kamari anaepiga hatua.Na wale wa Ulaya basi wengi maisha yao ya wasiwasi kila siku.

Sasa nakupa chellenge hii kama wewe ni Mkristo,nenda Jpili kanisani umuuliza Padri kwamba je mungu yupo pamoja namie kufatuta kipato kwenye kuchezesha kamari hii?
Akisema ni halali hata kwenye Ukristo,basi nitafute ili nibadili dini niwe mkristo.
Nimesema hivyo kwa sababu wengine tupo nao katika maisha ya karibu na nimechallenge hilo.

Fanya kazi ambayo mungu anaibariki na kuifurahia,usiilishe familia yako moto kwa dhambi zako.
 
Newton's III law of motion. "For every action there is an equal and opposite reaction" . Wewe umeelemewa na mambo yakimungumungu,kwa kisayansi ni powers ambazo bado hazijawa approved scientifically,ila zipo kutokana na viashiria vyake. Changanya mambo na uongozwe na uelewa,usilewe na mambo ya upande mmoja au yakimungu mungu.-ZANZIBAR SPICES
 
Wakuu sio kwamba nabeza mchezo huu.
Ila hii ni kamari kwa lugha nyepesi,maana ukiita kizungu kama vile unaihalalisha vile.
Mie ni muislam na katika dini yetu michezo hii ni hatari sana na ni Laana sana.Na ndio maana hakuna mcheza kamari anaepiga hatua.Na wale wa Ulaya basi wengi maisha yao ya wasiwasi kila siku.

Sasa nakupa chellenge hii kama wewe ni Mkristo,nenda Jpili kanisani umuuliza Padri kwamba je mungu yupo pamoja namie kufatuta kipato kwenye kuchezesha kamari hii?
Akisema ni halali hata kwenye Ukristo,basi nitafute ili nibadili dini niwe mkristo.
Nimesema hivyo kwa sababu wengine tupo nao katika maisha ya karibu na nimechallenge hilo.

Fanya kazi ambayo mungu anaibariki na kuifurahia,usiilishe familia yako moto kwa dhambi zako.

Sasa mbona mnataka muuza kiti moto amlipe kadhi?!
 
Ni haramu mkuu hata ukristo hauruhusu.
 
Mbona bidhaa za forever mnanunua hamjui kama ni devil business....acheni kuaminishwa mbona mnqkopesha watu na mnataka mrudishiwe na riba......mbona mnaaangalia mpira ambao nao unaendeshwa na freemson wakubwa duniani........
 
Wakuu sio kwamba nabeza mchezo huu.
Ila hii ni kamari kwa lugha nyepesi,maana ukiita kizungu kama vile unaihalalisha vile.
Mie ni muislam na katika dini yetu michezo hii ni hatari sana na ni Laana sana.Na ndio maana hakuna mcheza kamari anaepiga hatua.Na wale wa Ulaya basi wengi maisha yao ya wasiwasi kila siku.

Sasa nakupa chellenge hii kama wewe ni Mkristo,nenda Jpili kanisani umuuliza Padri kwamba je mungu yupo pamoja namie kufatuta kipato kwenye kuchezesha kamari hii?
Akisema ni halali hata kwenye Ukristo,basi nitafute ili nibadili dini niwe mkristo.
Nimesema hivyo kwa sababu wengine tupo nao katika maisha ya karibu na nimechallenge hilo.

Fanya kazi ambayo mungu anaibariki na kuifurahia,usiilishe familia yako moto kwa dhambi zako.

sasa wewe hii thread iekuvutia nini mpaka ueifungua? kama mambo yanakukwaza jitahidi kupishana nayo mbali mkuu.
wapo maprofessional gamblers wanaishi maisha ambayo wewe hata kuyaota tu hauwezi. rule ni moja tu, usichezee pesa usiyoweza kuhimili kuipoteza. ukileta mihadhara ya kuchagua dhambi wakati dhambi zingine zimekujaeni mwili mzima utaonekana mpiga kelele tu, anza na jihad ya nafsi kwanza sheikh!
 
Back
Top Bottom