RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Hello wana JF! Naomba anayefahamu kuhusu jinsi ya kupata mashine ya Betting ktk masuala ya mpira wa miguu ili kuwa wakala wao.Pia kama unafahamu faida yake na je unatakiwa uwe na kianzio cha shilingi ngapi ili kua wakala wao? mm nipo hapa DAR na kunasehemu wapo mashabiki wengi lakini hakuna mashine ya kubett hivyo ningepata hiyo mashine basi ingekua rahisi kufanya hiyo kazi ya uwakala.Hivyo naomba mwenye ufahamu wa kutosha atililike hapa.
kuna jamaa yupo premier betting na mtaji wake ni laki moja,kamisheni yake anayopewa ni 7%
Nadhani wanalipa kwa commision(according to transactions you do). Unataka premier betting au meridian betting? Ingia kwenye website zao fungua link ya "working with us" au tembelea jamaa mwenye mashne akupe info zaidi. Mikeka for life.
Wakuu sio kwamba nabeza mchezo huu.
Ila hii ni kamari kwa lugha nyepesi,maana ukiita kizungu kama vile unaihalalisha vile.
Mie ni muislam na katika dini yetu michezo hii ni hatari sana na ni Laana sana.Na ndio maana hakuna mcheza kamari anaepiga hatua.Na wale wa Ulaya basi wengi maisha yao ya wasiwasi kila siku.
Sasa nakupa chellenge hii kama wewe ni Mkristo,nenda Jpili kanisani umuuliza Padri kwamba je mungu yupo pamoja namie kufatuta kipato kwenye kuchezesha kamari hii?
Akisema ni halali hata kwenye Ukristo,basi nitafute ili nibadili dini niwe mkristo.
Nimesema hivyo kwa sababu wengine tupo nao katika maisha ya karibu na nimechallenge hilo.
Fanya kazi ambayo mungu anaibariki na kuifurahia,usiilishe familia yako moto kwa dhambi zako.

Kuna baadhi ya watu wapo vizuri sana ktk kuchagua dhambi, watakemea kamali au vilevi lkn zinaa wakaibariki.
yeah tupo karibu na soko kuu barabara ya EA karibu BATA.