Ningependa kujua Kama katika website yangu nikiweka poll box kwa ajili ya wasomaji kupiga kura za urais WA wagombea Kama njia ya kuonesha hisia zao kwamba yupi wangemchagua Kati ya hao.
Nitakua navunja sheria yoyote ya kimtandao,au ya nchi,au ya uchaguzi?
Msaada wataalamu WA sheria.