Kuhusu kuweka Poll Box katika website, je ni kosa?

Kuhusu kuweka Poll Box katika website, je ni kosa?

soloman

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
11
Reaction score
0
Ningependa kujua Kama katika website yangu nikiweka poll box kwa ajili ya wasomaji kupiga kura za urais WA wagombea Kama njia ya kuonesha hisia zao kwamba yupi wangemchagua Kati ya hao.

Nitakua navunja sheria yoyote ya kimtandao,au ya nchi,au ya uchaguzi?


Msaada wataalamu WA sheria.
 
Back
Top Bottom