Diploma?na marks hzo
Hapo possibility kubwa ni kwa level ya certificate(kwa course za afya)
tembeleahapa
certificate ya unesi ni miaka mingapi
Inawezeka mbona dit mwisho kuchukua ni point 28 ila kunamchujo ili usome diplomaDiploma?na marks hzo
certificate ya unesi ni miaka mingapi
>>Au sijaeleweka ni Ordinary diploma ndio nataka kuombaNataka kusoma diploma ya Laboratory technology hivyo chuo gani kizuri zaidi nitume maombi. Nina point 28 bios C,phys D,math D,chem D.
Biomedical ni nzurinikienda kusomea biomedical?
Je WDMI au DITNenda Arusha Technical College (ATC) ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference, pale utafanya mtihani wa mature age entry au utafanya pre-entry (acces) course
Je WDMI au DIT?Nenda Arusha Technical College (ATC) ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference, pale utafanya mtihani wa mature age entry au utafanya pre-entry (acces) course
unes unalipa sana ila kwa hizo cfa ni za certificate coz diploma huwa ni CCD, na ajira ya unesi ni nje nje na malupulupu ya kumwaga ni two years tu.naweza kwenda tec nina 4 ya 26 nina maths na physics C yote yaliobaki D au niende unesi?
unes unalipa sana ila kwa hizo cfa ni za certificate coz diploma huwa ni CCD, na ajira ya unesi ni nje nje na malupulupu ya kumwaga ni two years tu.
Nataka kusoma diploma ya Laboratory technology hivyo chuo gani kizuri zaidi nitume maombi. Nina point 28 bios C,phys D,math D,chem D.
Biology nilipata C.Biology ulipata nini?
Lakini mbona unasema kujiajiri kwani Lab tec siwezi kupata ajira hata serikarini?ni nzuri kama unataka kujiajiri lakini keep in mind kuwa nothing comes on an empty plate,so kwenda d.i.t,atc,must inabid usizidi point 25,