Kuhusu Laboratory technology

Kuhusu Laboratory technology

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Nataka kusoma diploma ya Laboratory technology hivyo chuo gani kizuri zaidi nitume maombi. Nina point 28 bios C,phys D,math D,chem D.
 
Hapo possibility kubwa ni kwa level ya certificate(kwa course za afya)
tembeleahapa
 
Jamani wanajukwaa sio kwamba naomba direct hapo naomba indirect yani nafanya access course miezi mitatu
 
Nataka kusoma diploma ya Laboratory technology hivyo chuo gani kizuri zaidi nitume maombi. Nina point 28 bios C,phys D,math D,chem D.
>>Au sijaeleweka ni Ordinary diploma ndio nataka kuomba
 
ni nzuri kama unataka kujiajiri lakini keep in mind kuwa nothing comes on an empty plate,so kwenda d.i.t,atc,must inabid usizidi point 25,
 
ni nzuri kama unataka kujiajiri lakini keep in mind kuwa nothing comes on an empty plate,so kwenda d.i.t,atc,must inabid usizidi point 25,
Lakini mbona unasema kujiajiri kwani Lab tec siwezi kupata ajira hata serikarini?
 
Back
Top Bottom