Kuhusu Laboratory technology

Kuhusu Laboratory technology

utapata kazi ya kuajiriwa lakini maslahi zaidi ni kama ukiajiajiri,,ka unaweza kwenda technical kwa nini usi opt for other courses kama civil au electronics &telecomunication engineering,,
 
Dip. Huwez soma labda certificate ya medical lab.
 
lakini maslahi ukiajiajiri,, kwa nini usi opt for other courses kama civil au electronics &telecomunication engineering,,
Asante,sasa izo ndio zina ajira na kama ajira ipo mshahara wake sh. ngap kwa civl na elctrns&Tele
 
utapata kazi ya kuajiriwa lakini maslahi zaidi ni kama ukiajiajiri,,ka unaweza kwenda technical kwa nini usi opt for other courses kama civil au electronics &telecomunication engineering,,

Hakikisha una mtaji wa kujiajiri maana huwezi kujiita fundi asiye hata na spana
 
Jamani wanajukwaa sio kwamba naomba direct hapo naomba indirect yani nafanya access course miezi mitatu

kama utafanya access course na kufaulu mtihan wao unaweza kupata nafas na kujiunga ila jiandae maana msuli wa lab tech ni sawa na kufanya combination 2 advance level
 
Asante,sasa izo ndio zina ajira na kama ajira ipo mshahara wake sh. ngap kwa civl na elctrns&Tele

suala la ajira kwa mchundo ni mtambuka bado jitahidi ujue kazi unayosomea kikwelikweli utapata ajira tu
 
Asante,sasa izo ndio zina ajira na kama ajira ipo mshahara wake sh. ngap kwa civl na elctrns&Tele
nakushauri kama unaweza nenda civil au telecomunication engineering.....
 
Back
Top Bottom