Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida?
.....Naomba kuwasilisha.
 
Airtel Money, Halo pesa, Haizidi miezi miwili, Tigo pesa inaweza Kuchukua hata miezi minne, M pesa mimi tokea ni apply ni zaidi ya miezi minne na sijui nitaipata lini
 
M-pesa Vodacom wamesitisha kutoa till toka July ila till za m-pesa unapoomba kwa WAZAWA unaipata ndani ya wiki moja Ila kwa watu kuja inawezachukua hata miezi 2.

Airtel Money nao hawatoi kwa sasa ila kwa WAZAWA unaweza ipata ndani ya siku moja. Kwa watukuja inaweza kuchukua hadi miezi 2.

Tigopesa till WAZAWA unaipata ndani ya siku 3 za kazi. Wakuja unaipata hata miezi 6 na pengine usiipate. Hivyo jiongeze.

Note: Ninazo line za M-pesa, Tigopesa,Airtel money na T-pesa za kwangu mwenyewe namtafuta mtu anayeweza kuzitumia tukawa tunalipana mwisho wa mwezi kwa makubaliano maalumu. Mtaji anaweka wa kwake. Ila awe Dar. Aliye interested anicheki PM tuyaweke sawa.
 
M-pesa Vodacom wamesitisha kutoa till toka July,ila till za m-pesa unapoomba kwa WAZAWA unaipata ndani ya wiki moja Ila kwa watu kuja inawezachukua hata miezi 2.

Airtel Money nao hawatoi kwa sasa ila kwa WAZAWA unawezaipata ndani ya siku moja. Kwa watukuja inawezakuchukua hadi miezi 2.

Tigopesa till WAZAWA unaipata ndani ya siku 3 za kazi. Watukuja unaipata hata miezi 6 na pengine husiipate. Hivyo jiongeze.

Note: Ninazo line za M-pesa,Tigopesa,Airtel money na T-pesa za kwangu mwenyewe namtafuta mtu anayeweza kuzitumia tukawa tunalipana mwisho wa mwezi kwa makubaliano maalumu. Mtaji anaweka wa kwake. Ila awe Dar. Aliye interested anicheki PM tuyaweke sawa.
Sijakuelewa hapo unaposema kwa watukuja au WAZAWA
 
Sijakuelewa hapo unaposema kwa watukuja au WAZAWA
WAZAWA ni wale wanaopata upendeleo baada ya kutoa chochote. Watukuja ni wale wagumu wa kujiongeza kutoa chochote na hence kutegemea huduma in fast track.
 
Epuka matapeli piga simu namba 0672275317

396d2be9-e2c7-4e1e-837d-b85c72e22734.jpg
 
KUWA MWANGALIFU,MAKAMPUNI HAYA YA SIMU YAMETOA KAZI YA KUSAMBAZA LAINI ZA UWAKALA KWA MAWAKALA WAO WAKUU.NA OFISI NYINGI ZA MAWAKALA WAKUU SIO WAAMINIFU.

UKIISHA PELEKA VILE VYOTE VINAVYOTAKIWA (LESENI, TIN, NIDA), UTAAMBIWA KUNA GHARAMA ZA MHURI WA MWANASHERIA TSHS 15000-MPAKA 20,000.
AMINI MAOMBI YAKO YATAPOLELEWA, ZILE NYARAKA. UTALIPISHWA HIYO PESA. NA NYARAKA HAZITAKWENDA POPOTE. HAPA UTAKUNA MTU KAOMBA HIZI LAINI TANGU MWAKA JANA JANUARY , NA HAKUNA KITU NA PESA ILE HAIRUDI.

HII YOTE NI KWA SABABU HAKUNA TAARIFA SAHIHI ZA UPATIKANAJI WA HIZI LAINI.

JARIBU KUPIGA HUDUMA KWA WATEJA KAMPUNI YOYOTE , ANGALIA KAMA UTAPATA JIBU.
 
Kama hajakuelewa shauri yake. Utapeli umeingia kila mahali siku hizi.
 
Back
Top Bottom