OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ngoja tuanze kukusanya data na ushahidiMkuu mimi naomba tuanze sasa kuyaanika maovu yake maana naona ameamua kutuchokoza
In God we Trust
Msikilize vizuri,huko sio kuomba msamaha ni kazidi kuchafua zaidiBwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Nimeona kauli yake hiyo...hapo ndipo kaharibu zaidi badala ya kuomba msamaha kaonyeshavdharau zaidi na jeuri la USOMALI wake..badala ya kuomba msamaha katoa kejeli zaidi...Huyu msomali kama nilivyowahi kusema mwanzo sio mtu wa mpira bali ni kada wa LUMUMBA aliyeletwa TFF kwa mgongo wa Usalama wa Taifa kuivuruga TFF kinachomsaidia kuwepo pale ni kwakuwa alitumwa na serikali vinginevyo hakustahili kabisa kuwa pale wazazi wake woote ni wasomali wa kuhamia na ndio maana hata siku moja hutokaa uzione nywele zake za asili ya kisomali anaogopa kuziotesha...MGESE kweli ..asilite mambo ya Lumumba kwenye sokaBwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Kwani mechi iliyopita chadema walishangilia timu gani?Angeshangaa Stars ikigeuzwa yake na watu kuishangilia Cranes mechi ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hili ndio jibu la swali langu?Kama hujui nguvu ya wapinzani kawaulize uhuru na mzareendo na tbc
In God we Trust
Amekosea sana kuchanganya siasa na mpira angetolea mfano wanaokosea watu wa mpira...
You nailed it!! Kweli ni upumbavu kumfananisha Lissu na wapinga haki kama Karia. Yeye hofu yake ni nini kama Wambura akienda FIFA? Au tayari FIFA nao mmeshawaweka kwenye kundi la Mabeberu?The problem with (Tanzanians) the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence.
Kuomba radhi ni kitu kimoja na kupewa msamaha ni kitu kingine. Umeambiwa, keshapewa msamaha?Sasa si kashaomba radhi mapovu ya nini?