Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki

Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
 
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Msikilize vizuri,huko sio kuomba msamaha ni kazidi kuchafua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Nimeona kauli yake hiyo...hapo ndipo kaharibu zaidi badala ya kuomba msamaha kaonyeshavdharau zaidi na jeuri la USOMALI wake..badala ya kuomba msamaha katoa kejeli zaidi...Huyu msomali kama nilivyowahi kusema mwanzo sio mtu wa mpira bali ni kada wa LUMUMBA aliyeletwa TFF kwa mgongo wa Usalama wa Taifa kuivuruga TFF kinachomsaidia kuwepo pale ni kwakuwa alitumwa na serikali vinginevyo hakustahili kabisa kuwa pale wazazi wake woote ni wasomali wa kuhamia na ndio maana hata siku moja hutokaa uzione nywele zake za asili ya kisomali anaogopa kuziotesha...MGESE kweli ..asilite mambo ya Lumumba kwenye soka
 
Angeshangaa Stars ikigeuzwa yake na watu kuishangilia Cranes mechi ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mechi iliyopita chadema walishangilia timu gani?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Amekosea sana kuchanganya siasa na mpira angetolea mfano wanaokosea watu wa mpira...
 
Kama hujui nguvu ya wapinzani kawaulize uhuru na mzareendo na tbc

In God we Trust
Kwamba hili ndio jibu la swali langu?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Huyu huenda hajui kujieleza mbele ya hadhara. Hii kauli yake haionyeshi kama anaomba radhi bali kuzidi kukejeli.
Hii nini sasa. "Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia"
"
Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem with (Tanzanians) the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence.
You nailed it!! Kweli ni upumbavu kumfananisha Lissu na wapinga haki kama Karia. Yeye hofu yake ni nini kama Wambura akienda FIFA? Au tayari FIFA nao mmeshawaweka kwenye kundi la Mabeberu?

Mtu kama Karia kuinua mdomo wake kusema mambo ya siasa kwa madai kwamba LIssu anakashifu serikali kweli anaweza kuthibitisha hizo kashfa ni zipi?
 
Back
Top Bottom