kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Uhuru wa kutoa maoni huendana na haki ya kupinga maoni ya mtu mwingine bila ya kutishana!Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi.
Video nimeiona,kaomba radhi!Kaomba wapi?
Alipokashifu tuliona video
Mbona hakuna ushahidi wa video?
I can't believe ni utapeli wakisiasa unless tuone video.
Hebu aseme "wambura aache kuropoka kama Magufuli" uone shughuli yake!Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi. Hivi kusema "tabia ya utundu lissu" ndio iwe kosa?? Mbona lissu alimwita rais ni dikteta uchwara? Mbona wengine wanamuita muhutu??
Demokrasia ni ngumu ndugu zangu. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo ambacho huelewi ni nini?Hata hao ambao wanammind na kumtaka aombe radhi wanatumia demokrasia hiyo hiyo kutoa maoni hayo kuwa aombe radhi!Cha msingi tusidhuriane!Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi. Hivi kusema "tabia ya utundu lissu" ndio iwe kosa?? Mbona lissu alimwita rais ni dikteta uchwara? Mbona wengine wanamuita muhutu??
Demokrasia ni ngumu ndugu zangu. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kuomba radhi kwa kejeli .Sasa si kashaomba radhi mapovu ya nini?
Mimi si Mchadema lakini kauli hiyo inakera, ni matusi kwa wale wanao muunga mkono Lissu hata kama kati yao wako kondoo wa Nyerere kama mimi. Halafu anasema "kama kuna watu nimewakwaza"-pumbafu kabisa-stupid idiot."Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Hakuna hiyo mkuu , aendelee tu kumwandama Lissu na tayari tuishamuweka kwenye lile kundiBwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.
Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.
My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Na hapo ndipo itakapojulikana nguvu ya Tundu Lissukaharbu sifa ya TFF. nawahakikishia ikitokea timu ya taifa inacheza harafu yeye akawa mgeni rasmi vijana watashangilia timu pinzani kwa sababu yake. aisee kaharbu kinoma
Hatutaki msamaha wake sasa !Sasa si kashaomba radhi mapovu ya nini?
kwani lazima kukubali?