Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi. Hivi kusema "tabia ya utundu lissu" ndio iwe kosa?? Mbona lissu alimwita rais ni dikteta uchwara? Mbona wengine wanamuita muhutu??
Demokrasia ni ngumu ndugu zangu. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri Mungu ameanza kumwumbua kwa chuki zake binafsi kwa Wambura. Haya ni matope asee! Msamaha gani huu!!! Yani ndo ameongeza chumvi kwenye kidonda.

Hivi mpaka kesho tunapoamka bado tutakuwa na rais wa TFF wa namna ya Karia!!!

Karia has to gooooo! Narufia tena he has to gooooo!
 
Akumbuke Lisu bado yupo ulaya so anaweza kufika hadi HQ za FIFA mwenyewe bila kutuma email..
 
Hajaomba radhi huyo, kanikera sana na anashambuliwa kila kona ataijutia hiyo kauli yake .
 
Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi. Hivi kusema "tabia ya utundu lissu" ndio iwe kosa?? Mbona lissu alimwita rais ni dikteta uchwara? Mbona wengine wanamuita muhutu??
Demokrasia ni ngumu ndugu zangu. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu aseme "wambura aache kuropoka kama Magufuli" uone shughuli yake!
 
Wanasema wanataka demokrasia ya maoni, watu wametoa maoni yao wanataka waombe radhi. Hivi kusema "tabia ya utundu lissu" ndio iwe kosa?? Mbona lissu alimwita rais ni dikteta uchwara? Mbona wengine wanamuita muhutu??
Demokrasia ni ngumu ndugu zangu. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo ambacho huelewi ni nini?Hata hao ambao wanammind na kumtaka aombe radhi wanatumia demokrasia hiyo hiyo kutoa maoni hayo kuwa aombe radhi!Cha msingi tusidhuriane!
 
"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki
Mimi si Mchadema lakini kauli hiyo inakera, ni matusi kwa wale wanao muunga mkono Lissu hata kama kati yao wako kondoo wa Nyerere kama mimi. Halafu anasema "kama kuna watu nimewakwaza"-pumbafu kabisa-stupid idiot.
 
kaharbu sifa ya TFF. nawahakikishia ikitokea timu ya taifa inacheza harafu yeye akawa mgeni rasmi vijana watashangilia timu pinzani kwa sababu yake. aisee kaharbu kinoma
 
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu.

Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala kutaka kumkashifu Tundu Lissu. Ameongeza kuwa aliifananisha tabia ya Wambura kutojizuia kuzungumza mara kwa mara kama ilivyo kwa Tundu Lissu.

"Kama kuna watu nimewakwaza,naomba wanisamehe" amesema Karia.

My Take
Tunamuonya Karia asichezee koki

Soma Hapa: Kauli ya TFF ya kuwashughulikia Wanachama wanaoleta Utundu Lissu, yawakera CHADEMA - JamiiForums
Hakuna hiyo mkuu , aendelee tu kumwandama Lissu na tayari tuishamuweka kwenye lile kundi
 
kaharbu sifa ya TFF. nawahakikishia ikitokea timu ya taifa inacheza harafu yeye akawa mgeni rasmi vijana watashangilia timu pinzani kwa sababu yake. aisee kaharbu kinoma
Na hapo ndipo itakapojulikana nguvu ya Tundu Lissu
 
hata akiomba msamaha, moyo wake ulijazwa na umejazwa na alichosema

kama chadema ina amini katika demokrasia ya mtu kusema CHOCHOTE kwa nini HIKI WAMEPANICK??
 
Back
Top Bottom