Huyo boya nimemmaind kinoma!
Aache ulimbukeni huyo mjinga. Tena aache kutuchanganyia mpira na siasa
DED aka kada, alijisahauMkuu mimi naomba tuanze sasa kuyaanika maovu yake maana naona ameamua kutuchokoza
In God we Trust
Utundulisu naona Tafsirii nyingi. Utundu Lissu ni mashino madogo ya kwenye majani. Sikuwaona mkitia nia kwenye hard talk alivyosema wanaume ruhusa ni haki yao au tuanze mapema kuingiwa na hofu.yaani soka letu linaongozwa na msomalia? ndio maana tunaendelea kua kichwa cha mwendawazimu!
Unampa hongera kivipi wakati hiyo kauli yake ya kuomba radhi (kama nukuu ilivyowekwa na mtoa mada) haijanyooka na inaonekana hajutii maneno yake kwa TL. Huwezi kusema "kama kuna watu nimewakwaza...". Yaani mpaka muda huu haamini ikiwa watu tumekwazika. Kuomba radhi kunapaswa kuwe straight bila kona kona kama alivyofanya yeye. Hovyo sana huyo mtu kumbe. Sijui alipataje huo uongozi.Hongera kwa uungwana, mtu mzima kuomba radhi maana yake amekubali makosa huo ndio uungwana.
Kwani wakati huo YY alikuwa na cheo gani pale tff?Nani amsamehe mwizi wa pesa za TFFCCM kala pesa nyingi na malinzi lakini kwa kuwa yeye alikuwa hatii sahihi akaamua kumsariti akamchongea aende jela ili yeye awe Mwenyekiti wa TFFCCM.
Nina (tuna) hiari ya kumsamehe ama hapana usituchagulie, hapa tunamnanga kwanza ili hasira ziishe. tukiona vp? hatumsamehi na tunazingua kwenye sokaSasa si kashaomba radhi mapovu ya nini?