Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Nitakwenda uwanja wa Taifa,, Nitaishabikia timu yangu ya Taifa kwa nguvu zote,
Lakini nitakuwa msitari wa mbele kuanzisha kampeni ya kumzomea Karia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia leo mimi pamoja na mke wangu na watoto wangu tumeamua kwa pamoja kutoishangilia timu ya Taifa stars ya mpira wa miguu popote itakapocheza mpaka hapo rais wa TFF ndg Karia atakapoacha madaraka
 
Asee hata mimi kuanzia leo nitashangilia wapinzani tu kwanza kila siku team yenyewe pasua kichwa tu !
 
msomali aliyeingia kwenye cheo kwa rushwa kubwa
tumuombee wambura amburuze mahakamani
 
yaani soka letu linaongozwa na msomalia? ndio maana tunaendelea kua kichwa cha mwendawazimu!
Utundulisu naona Tafsirii nyingi. Utundu Lissu ni mashino madogo ya kwenye majani. Sikuwaona mkitia nia kwenye hard talk alivyosema wanaume ruhusa ni haki yao au tuanze mapema kuingiwa na hofu.
 
Hongera kwa uungwana, mtu mzima kuomba radhi maana yake amekubali makosa huo ndio uungwana.
Unampa hongera kivipi wakati hiyo kauli yake ya kuomba radhi (kama nukuu ilivyowekwa na mtoa mada) haijanyooka na inaonekana hajutii maneno yake kwa TL. Huwezi kusema "kama kuna watu nimewakwaza...". Yaani mpaka muda huu haamini ikiwa watu tumekwazika. Kuomba radhi kunapaswa kuwe straight bila kona kona kama alivyofanya yeye. Hovyo sana huyo mtu kumbe. Sijui alipataje huo uongozi.
 
League limemshinda. Halina wadhamini.

Kupanga ratiba tu mtihani, hawezi, anapata wapi muda wa kutafuta maadui wengine badala ya kupambana na Changamoto za soka?.

Kwenye viongozi wa Soka huwa tunachemka sana. Tenga na Said El Maamry tu ndio walikuwa na busara na vision ya kutusogeza kisoka. Wengine wahuni tu.
 
Hafai kabisa kuwa kiongozi wa TFF aondoke tuu wanawapiga zengwe watu wa mpira ili wao wasiojua chochote waharibu tuu...
 
Nani amsamehe mwizi wa pesa za TFFCCM kala pesa nyingi na malinzi lakini kwa kuwa yeye alikuwa hatii sahihi akaamua kumsariti akamchongea aende jela ili yeye awe Mwenyekiti wa TFFCCM.
Kwani wakati huo YY alikuwa na cheo gani pale tff?
 
Kuna makosa ya kusamehe na kuna makosa si ya musamehe.

Binafsi siwezi kumsamehe. Kwa nchi zenye kiwango kikubwa cha cha utu angekuwa ameshapelekewa Petition FIFA ili ajiuzulu kwa kuchanganya siasa na mpira. Ila kwasababu sisi watanzania ni mazwazwa wacha tumkaushie tu. Ila siwezi msamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom