Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

Naunga mkono hoja.Kama hatufanyi tena vipimo basi hakuna haja ya lock down.Wacha tupuputike kimya kimya.

Iwapo tungefanya lock down ingetubidi tupime watu.Na vipimo vingeonyesha ni lini tufungue tena nchi baada ya Lock down
 
nani kasema hatufanyi vipimo?
 
nani kasema hatufanyi vipimo?
Leo ni siku ya nane hakuna matangazo kuhusu ya vipimo vipya. Nadhani baada ya mapapai kukutwa na covid sidhani kama tutapimwa tena
 
kabla ya kuamua kuishi na hili tatizo kwa kuwa corona inauwa na wala haina utani kwenye hili serikali ilipaswa kuuwezesha mifumo ya afya sasa hivi hospitali zitaenda kujaa wagonjwa na wahudumu wa Afya wanazidiwa nini sasa kinakwenda kutokea ni “ mfumo wa afya unaenda ku collapse No vitendea kazi hospitalini wala wahudumu maana ata wao tunawaweka kwenye risk...tutawapoteza

Nini kilitakiwa kufanyika jibu ni moja “ lock down either iwe total lockdown au half lockdown tatizo watanzania wengi ni watu wa kufata mkumbo ukimuuliza why lockdown atakwambia ili kuondoa au kumaliza corona[emoji134]‍♂️ kifupi ni kwamba lockdown haiondoi corona bali inapunguza kasi ya maambukizi kitu ambacho Tz tumefeli

Unapopunguza kasi ya maambukizi means utailinda mifumo ya afya na ukitaka uamini hili subiri uugue sasa hivi uone mabadiliko ya sekta ya afya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nani kasema hatufanyi vipimo?

Tanzania inapima wenye dalili tu that why visa ni vichache I’m sure mkianzisha upimaji serious mtapata case si chini ya elfu 5

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Rais yuko sawa kwa sababu labda yuko bega kwa bega na mabeberu kuhakikisha wananchi wa Tanzania wanakufa as many as all if it is supposed to be.

Tutakwisha kabisa, kama tutaendelea kumsikiliza huyu NYUMBU.
 
Tanzania inapima wenye dalili tu that why visa ni vichache I’m sure mkianzisha upimaji serious mtapata case si chini ya elfu 5

Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu ukishapata watu 5000 what next
 
Lockdown imepunguzaje maambukizi uingereza?
 
Mabeberu na vibaraka wao wenye mpango wa kutumia COVID 19 kumuharibia Mzee baba Jembe Magifuli wasahau kwa sababu tutakula nao sahani moja...COVID 19 ni kionjo tu kwenye mboga.
JPM is there to stay mpka nchi ikae sawa.

Mwaka wa tano huu hamna viwanda,mmebaki kuongea maneno ya karne iliyopita sijui upuuzi wa ubeberu na ujinga usio na maana yoyote.
 
Mwaka wa tano huu hamna viwanda,mmebaki kuongea maneno ya karne iliyopita sijui upuuzi wa ubeberu na ujinga usio na maana yoyote.
Sasa hivi Sanitizers hatuagizi nje
 
Hata WHO wamemuelewa Jembe JPM
 
Mwaka wa tano huu hamna viwanda,mmebaki kuongea maneno ya karne iliyopita sijui upuuzi wa ubeberu na ujinga usio na maana yoyote.
data zinajieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…