Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #101
Tafuta mtu zikitokea nafasi nenda akupambania akupelekeNiende kujitolea nijipeleke mwenyewe
Hakunà kitambulisho cha kupiga kula, ulikionà wapi?Binafsi yangu sijawai kuona Kitambulisho chochote zaidi ya Kitambulisho cha kupiga kula na Nida.... Nyinyi mnavionaje waungwanaaaa
Vipi kuuwawa kwa gaidi Haney mkuu wa Hamas ndani ya kambi ya jeshi na makao makuu ya usalama Tehran Iran?Bongo vitu vingi tunapangwa sana.Sio tu vitambulisho dogo alikuwa na sare za jeshi pia. Kwahiyo nazo zinachapishwa stationary sio?(anaweza kuwa alizipata kwa njia nyingine)
Logic yangu hapa ni kwamba mifumo yote imepwaya hata unaosema sijui usalama wa taifa nao ni wale wale hawana jambo la kushangaza kihivyo(ni sawa na wale walikuwa wakipamba shirika la ujasusi la Israel lakini Hamas kawapiga tukio ambalo mpaka leo wanabembeleza wapatiwe mateka)
Kingine polisi kumkamata huyo dogo nadhani ni kazi yao msingi kuliko JW kufanya hivyo
Wapi Huko ?Shida hawa watu wanadanganywa na wanasiasa usalam ulete fyoko fyoko wanachukuliwa poa tu nishawai kukutana nao kwenye msiba wa mkubwa mmoja siku ya maziko alfajir walitimua watu wote hakuna cha polisi wala nan kauli yao ni moja tupisheni tufanye kazi yetu sasa na wote walikaa pembeni
Hapa nilijaribu tu kuonyesha ambavyo kuna muda tunatoa sifa kwa jambo kupita kiasi.Ndio jamaa wako vizuri lakini kuna ile sifa zinazidi uhalisia.Hamas kakaa na hao mateka muda sasa yani kama zile sifa ungekuwa uhalisia tusingekuwa ni hizi kauli za Trump za vitishoVipi kuuwawa kwa gaidi Haney mkuu wa Hamas ndani ya kambi ya jeshi na makao makuu ya usalama Tehran Iran?
Wewe si umegoma kuonekana🤣🤣 mdomo mrefu tu halafu unajificha🍺Basi ninunulie mimi boss
Mtoa Mada atakuwa nayo, bila shaka ni wa idara!Kuna yeyote mwenye picha ya kitambulisho cha usalama wa Taifa tuone inafananaje
shida sio luten uyo dogo inavyoonekana ni mwanajeshi kweli sema cheo ndio feki hadi badge imeandikwa emmanuel ili jambo litaisha kimya kimya sababu uyo sio mwanajeshi feki bali ni cheo fekiDogo alijichanganya sana, miaka 24 uwe luteni wa jeshi? Labda ulaya na sio Afrika.
Hana uaskari wowote hapo taarifa zingine watatoa wenye kama wataka raia wajue kunashida sio luten uyo dogo inavyoonekana ni mwanajeshi kweli sema cheo ndio feki hadi badge imeandikwa emmanuel ili jambo litaisha kimya kimya sababu uyo sio mwanajeshi feki bali ni cheo feki
Acha kutisha watu bhna nauza chakula uku kwa watourMtoa Mada atakuwa nayo, bila shaka ni wa idara!
Kama kweli, atakuwa ni kuruta asiyeiva bado, hicho cheo ni kikubwa sana kwa Tanzaniashida sio luten uyo dogo inavyoonekana ni mwanajeshi kweli sema cheo ndio feki hadi badge imeandikwa emmanuel ili jambo litaisha kimya kimya sababu uyo sio mwanajeshi feki bali ni cheo feki
Kuna yeyote mwenye picha ya kitambulisho cha usalama wa Taifa tuone inafananaje
Kwanza uniform ya jeshi aliivaa akiwa kwenye gari hakuzurura nayo hadharani. Pia huyo kabla ya kukamatwa alikuwa ni mtuhumiwa anayetafutwa. Wewe ulitegemea wanajeshi wakutane naye wapi wamtie nguvuni? Hata waliomkamata hawakumkamata kwa sababu alikuwa na uniform ya jeshi bali alikuwa anatafutwa kwa makosa mengine kabla na siku aliyokamatwa.Ndio maana nikasema mifumo yetu mingi ina madhaifu kibao.Just imagine janja tu wa miaka 24 anaweza kuingia kwenye vyombo ambavyo vimeaminiwa kulinda mipaka ya taifa akajipa manyota,vitambulisho na sare.Huoni kuna shida hapa?
Kwamba hili jeshi ndio wanasema linaweza kulinda mpaka wetu wa Rusumo mtu mrefu asifanye uvamizi au linaweza komboa Bukavu na Goma?
Wana Idara wapo kila mahali ndani ya nchi hii. Hata ile sehemu unayodhani hawapo kumbe ndo hapo kwenye hub yao. JPM alitufungua macho kwamba hata Viongozi wetu wa Dini ni wana-Idara tena wengine ni Waandamizi. Refer to Rev Kipilimba.Acha kutisha watu bhna nauza chakula uku kwa watour