Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Kuhusu Luteni feki wa JWTZ: Jeshi liboreshe alama zake zinazoweza kufojiwa kirahisi

Bongo vitu vingi tunapangwa sana.Sio tu vitambulisho dogo alikuwa na sare za jeshi pia. Kwahiyo nazo zinachapishwa stationary sio?(anaweza kuwa alizipata kwa njia nyingine)

Logic yangu hapa ni kwamba mifumo yote imepwaya hata unaosema sijui usalama wa taifa nao ni wale wale hawana jambo la kushangaza kihivyo(ni sawa na wale walikuwa wakipamba shirika la ujasusi la Israel lakini Hamas kawapiga tukio ambalo mpaka leo wanabembeleza wapatiwe mateka)

Kingine polisi kumkamata huyo dogo nadhani ni kazi yao msingi kuliko JW kufanya hivyo
Vipi kuuwawa kwa gaidi Haney mkuu wa Hamas ndani ya kambi ya jeshi na makao makuu ya usalama Tehran Iran?
 
.🤣😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂😂😂Wewe Kiboko, Saa Hizi Upo Military Camp
baadaye Una Jump Kwa Mobeto
 
Shida hawa watu wanadanganywa na wanasiasa usalam ulete fyoko fyoko wanachukuliwa poa tu nishawai kukutana nao kwenye msiba wa mkubwa mmoja siku ya maziko alfajir walitimua watu wote hakuna cha polisi wala nan kauli yao ni moja tupisheni tufanye kazi yetu sasa na wote walikaa pembeni
Wapi Huko ?
 
Vipi kuuwawa kwa gaidi Haney mkuu wa Hamas ndani ya kambi ya jeshi na makao makuu ya usalama Tehran Iran?
Hapa nilijaribu tu kuonyesha ambavyo kuna muda tunatoa sifa kwa jambo kupita kiasi.Ndio jamaa wako vizuri lakini kuna ile sifa zinazidi uhalisia.Hamas kakaa na hao mateka muda sasa yani kama zile sifa ungekuwa uhalisia tusingekuwa ni hizi kauli za Trump za vitisho
 
Mtu akiamua kufanya uhalifu atafanya tu hata uweke kitambulisho gani. Watu wanatengeneza passport feki tena za USA ndo iwe ID?

Polisi wana mandate ya kukamata wahalifu sio jeshi. Swala sio nani wakwanza kupata taarifa bali nani ana mandate ya kufanya apprehension, hiyo ni kazi ya polisi. Sheria inataka hivyo.

Hao usalama unaowasifia (TISS) ndo taasisi ya hovyo kuliko zote nchini. TISS feki wamejaa kibao mtaani hadi vichaa wanajifanya TISS.
 
shida sio luten uyo dogo inavyoonekana ni mwanajeshi kweli sema cheo ndio feki hadi badge imeandikwa emmanuel ili jambo litaisha kimya kimya sababu uyo sio mwanajeshi feki bali ni cheo feki
Hana uaskari wowote hapo taarifa zingine watatoa wenye kama wataka raia wajue kuna
 
shida sio luten uyo dogo inavyoonekana ni mwanajeshi kweli sema cheo ndio feki hadi badge imeandikwa emmanuel ili jambo litaisha kimya kimya sababu uyo sio mwanajeshi feki bali ni cheo feki
Kama kweli, atakuwa ni kuruta asiyeiva bado, hicho cheo ni kikubwa sana kwa Tanzania
 
Katika hii thread kuna ID ya popoma ikitumia IDS nyingine zenye utambulisho wa tofauti
 
Kuna yeyote mwenye picha ya kitambulisho cha usalama wa Taifa tuone inafananaje
1739820657959.jpeg
 
Ulitaka wanajeshi wawe wa kwanza kumtambua wangeonana naye wapi? Hata yeye sio mjinga kiasi cha kuvaa vazi la jeshi sehemu yenye wanajeshi wengi. Kukamatwa kwake wala si kwa sababu ya kuvaa vazi la jeshi bali tayari alikuwa anatafutwa kwa makosa mengine. Siku aliyokamatwa ndio alikutwa amevaa uniform ya jeshi.

Si rahisi polisi kumtambua mtu asiye mwanajeshi aliyevalia vazi la jeshi kwa sababu wanajeshi na polisi ni watu tofauti hawafanani hata kisaikolojia. Hivyo polisi hawafahamu wanajeshi wanavyo-behave.
 
Ndio maana nikasema mifumo yetu mingi ina madhaifu kibao.Just imagine janja tu wa miaka 24 anaweza kuingia kwenye vyombo ambavyo vimeaminiwa kulinda mipaka ya taifa akajipa manyota,vitambulisho na sare.Huoni kuna shida hapa?

Kwamba hili jeshi ndio wanasema linaweza kulinda mpaka wetu wa Rusumo mtu mrefu asifanye uvamizi au linaweza komboa Bukavu na Goma?
Kwanza uniform ya jeshi aliivaa akiwa kwenye gari hakuzurura nayo hadharani. Pia huyo kabla ya kukamatwa alikuwa ni mtuhumiwa anayetafutwa. Wewe ulitegemea wanajeshi wakutane naye wapi wamtie nguvuni? Hata waliomkamata hawakumkamata kwa sababu alikuwa na uniform ya jeshi bali alikuwa anatafutwa kwa makosa mengine kabla na siku aliyokamatwa.
 
Acha kutisha watu bhna nauza chakula uku kwa watour
Wana Idara wapo kila mahali ndani ya nchi hii. Hata ile sehemu unayodhani hawapo kumbe ndo hapo kwenye hub yao. JPM alitufungua macho kwamba hata Viongozi wetu wa Dini ni wana-Idara tena wengine ni Waandamizi. Refer to Rev Kipilimba.
Kuna mwingine yeye ni receptionist wa Lodge fulani maeneo ya soko jipya hapa nyuma! Kiufupi chunga mdomo wako wakati wa kubwabwaja... Hata mzazi wako usimuamini unaweza kuta naye ni member since then.........
 
Sikua najua mugulani ni a one stop shop ya wanajeshi.. jf kuna ya kujifunza.
#######
Marekani sasa hivi wanaojifanya ni Polisi wa Uhamiaji ICE imeongezeka maradufu. Wapo wabongo huko wanahenyeshwa wakikutana na matapeli kama huyu wa kwetu. Wanavaa uniform, wanavitambulisho na hata magari😭😭 Sasa cjui kama wana duka kama la mgulani🤷‍♂️
######
Labda jamaa alijifunza huko?
 
Back
Top Bottom