Joseph 44
Member
- Nov 14, 2022
- 49
- 21
YAANI KILICHONIUA SASA ATA KAMBI ALISHINDWA KUITAJA ALIPOULIZWA ALIBAKI ANABABWJA MDOMO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAANI KILICHONIUA SASA ATA KAMBI ALISHINDWA KUITAJA ALIPOULIZWA ALIBAKI ANABABWJA MDOMO
Dhu mkuu uliisikia wapi hii kuwa officers kuanzia Colonel kwenda juu wanapewa mgao wa kuwa peleka watoto wao jeshini?Hakuna kitu kama hicho kisheria. Kwanza tuna tuna ma- Colonel, ma- Brigadier General,, Ma- Major General wangapi? Ni mamia ya watu kama si maelfu kadhaa.Duuh kwahyo kipengele cha umri kinaweza kukutoa mchezoni hata kama upo na MTU mkubwa mfano kanali? maana kuanzia kanali hua wanapewa nafas za kupeleka watoto wao
Kwahyo unataka kusema hua hawapewi nafas za kupeleka watoto wao?? RweboDhu mkuu uliisikia wapi hii kuwa officers kuanzia Colonel kwenda juu wanapewa mgao wa kuwa peleka watoto wao jeshini?Hakuna kitu kama hicho kisheria. Kwanza tuna tuna ma- Colonel, ma- Brigadier General,, Ma- Major General wangapi? Ni mamia ya watu kama si maelfu kadhaa.
Ndiyo. Hakuna kitu kama hicho mkuu. Kisheria hakuna 'mgao' kama huo jeshini. Kama ingekuwa hivyo tungekuwa na jeshi kama DRC.Kwahyo unataka kusema hua hawapewi nafas za kupeleka watoto wao?? Rwebo
Ndiyo. Hakuna kitu kama hicho mkuu. Kisheria hakuna 'mgao' kama huo jeshini. Kama ingekuwa hivyo tungekuwa na jeshi kama DRC.
Hii sio jwtz tu, hata polisi wakubwa hupewa nafasMkuu nafas wanapewa, fanya tafiti zako vzr utapata majibu
Ukiambiwa utoe ushahidi unaoa?Hii sio jwtz tu, hata polisi wakubwa hupewa nafas
Ushahid tena mkuu!Ukiambiwa utoe ushahidi unaoa?
Mm labda niseme ushahid sina, ila nachoweza sema embu jaribu kupitia name tag/badge za baadhi ya askar kweny majeshiUshahid tena mkuu!
Tukubali kuto kubaliana.Mkuu nafas wanapewa, fanya tafiti zako vzr utapata majibu
Usiendelee kumfafanulia hapa,ye anadhani unapunguzwa kama mchele.Ili kuendana na umri tajwa au wanaoutaka kwa wakati uho
Ety kama mcheleUsiendelee kumfafanulia hapa,ye anadhani unapunguzwa kama mchele.
Hutak anifafanulie mkuuUsiendelee kumfafanulia hapa,ye anadhani unapunguzwa kama mchele.
Mende wamejaa humu nawewe huelewi misamiati.kama kuunguza umri waweza muuliza unapunguzwaje.Hutak anifafanulie mkuu