Kuhusu maana za sare za majeshi yetu

Kuhusu maana za sare za majeshi yetu

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
341
Reaction score
498
Good day, Forumers (si-kingereza rasmi).

Bila shaka kazi ya kujenga taifa inakuendea sawa sawa namachaguo yako, kama umechagua kuwa mlalamikaji sawa, na kama umeamua kuwa mlalamikiwa sawa.

Ok, nijielekeze kwenye ni nini nahitaji kufahamu (kufahamishwa).
Naomba ufafanizi kuhusu sale(uniforms) hasa hasa kwa wakuu wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama(isipokuwa TISS) hawa nasikiaga hawana sale maalum.

Mfano: Leo aliyekuwa CDF wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania (Namzungumzia General Venance Mabeyo) ameonekana Ikulu akiwa na sale greenish Blue, lakini kuna wakati anavaa zile sale zenye mabaka mabaka(Rangi zq jeshi).


Mfano mwingine IGP Simon Siro kuna wakati anavaa zile sale za rangi ya kaki na wakati mwingine tofauti.


Kwa yoyote anayeweza kunisaidia ufafanuzi hapa, nitashukuru sana.

Asante
Natanguliza shukrani zangu za dhati.


Wako
Machepele Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom